Ray C wa sasa hadi huruma

Ray C wa sasa hadi huruma

Mmeamua tu kumchafua Ray C.
Kama ni Mange anasambaza ajue tu kuwa the girl is clean yeye ndiyo anataka ku-mfrustrate
 
Tetesi za lord eyes kumpoteza ray c nashindwa kuzikubali maana lord eyes yuko fresh daily na mziki kama kawaida .....
 
Mmeamua tu kumchafua Ray C.
Kama ni Mange anasambaza ajue tu kuwa the girl is clean yeye ndiyo anataka ku-mfrustrate
Sio mambi mkuu account nyingi za habari wameweka hizo picha na ukiangalia hizo picha ni za global publishers
 
Ray C akinywa Methadone kwa ukamilifu ni lazima anenepe kama alivyokuwa akionekana baada ya kuanza kunywa dawa.
Alipokunywa dawa kwa mwaka wa kwanza alionekana anaendelea vizuri kiasi cha kuonekana anaweza kumaliza tiba kwa miaka miwili.
Sasa alipokuwa kwenye mwaka wa pili ndio alipoanza kujichanganya na mateja, hasa alipofungua mgahawa wake Mwananyamala.
Yanayomtokea Ray C ni mambo ya kuumiza sana, na hataki kuwa mkweli kama alianza uteja alipoanza kuwa punda na TID, hata Lord Eyes alimkuta akiwa teja.
Na kwa bahati mbaya mara zote akianza tiba hulazimishwa, haamui mwenyewe kwa hiari yake.
Hakuna siri tena yeye teja kwa mara nyingine tangu alipoacha mazoezi na alipoanza kupungua unene wake, kwani unene ule ulikuwa wa side effects za Methadone.
Kwa hivi alivyopungua ilitokana na kurudia matumizi ya dawa za kulevya kwa mara nyingine.
Kwa msioijua hii ni mara yake ya tatu kurudia uteja na kukatiza dozi ya tiba, alishatibiwa Arusha na Nairobi.
Na mbaya zaidi mateja wenzake ndio waliompiga hizi Picha na kuziuza kwa Shigongo.
Katika hili Shigongo kaandika ukweli mtupu, coz kuna mtu wa familia ya Ray C anampa hizi habari.
Kuna mtu anaitwa Mama Derick ambaye ni mke wa kaka yake Ray C anayeishi China ndiye anayempa habari zote za Ray C.
Mama Derick anaishi hapa huku mumewe akiwa China, na uhusiano wa kimapenzi na Erick.
Kwa bahati mbaya Ray C hawaivi na huyu wifi yake, tangu walipogombana na Ray C kumtupa ndani wifi yake kwa siku mbili.
Mimi simuonei huruma tena.

Ova
 
Back
Top Bottom