Ray Kigosi asema watu wanakuwa weusi kwasababu ya shida

Ray Kigosi asema watu wanakuwa weusi kwasababu ya shida

Daaah siamini kama Ray biology basic ya form four inamshinda. Ina maana hajui why waafrika sisi ni weusi
 
Ray, mwisho atasema watu wanakuwa weusi kwa sababu hawana michepuko.

Alianza na kusema kuwa kunywa maji mengi ndiyo siri ya rangi yake kubadilika na kuwa hiyo light skin color.

Leo, kaja na ngojera za kuwa mtu kuwa mweusi ni kwa sababu ya matatizo (Sijui umaskini na kukosa fedha)

Laiti kama , Ray, angeenda pale Tarime, aulizie tajiri wa vituo vya mafuta, depots za bia na soda pamoja na mabasi ya Zacharia Express , aitwaye "Mhe.Peter Zacharia"

Hakika, Ray, angetengua kauli yake hiyo leo ii hii, ila sasa kwa sababu elimu yake ni zero basi acha azidi kuonesha ukilaza wake mbele hadi ya wanae.
 
Ray, mwisho atasema watu wanakuwa weusi kwa sababu hawana michepuko.

Alianza na kusema kuwa kunywa maji mengi ndiyo siri ya rangi yake kubadilika na kuwa hiyo light skin color.

Leo, kaja na ngojera za kuwa mtu kuwa mweusi ni kwa sababu ya matatizo (Sijui umaskini na kukosa fedha)

Laiti kama , Ray, angeenda pale Tarime, aulizie tajiri wa vituo vya mafuta, depots za via na soda pamoja na mabasi ya Zacharia Express , aitwaye "Mhe.Peter Zacharia"

Hakika, Ray, angetengua kauli yake hiyo leo ii hii, ila sasa kwa sababu elimu yake ni zero basi acha azidi kuonesha ukilaza wake mbele hadi ya wanae.
Ila pia kumsikiliza mtu kama Ray ni upungufu wa akili... Hajui lolote huyu jamaa na upeo wake ama ufahamu wake wa mambo ni mfinyu mnoo.
 
Yeye alisema anakunywa maji mengi ndo anakuwa white, sasa mambo ya shida yanatoka wapi?
 
Daaah siamini kama Ray biology basic ya form four inamshinda. Ina maana hajui why waafrika sisi ni weusi

kiwiko ,

Lowasa , 2015 alisema ,,,, Elimu, elimu , elimu , elimu , naanza kuelewa alicho kuwa anakiona hapo Tanzania.

Ina maana Ray ni darasa la NNE ndiyo level ambayo huwezi elewa skin pigments/ melanin of a human being is a natural phenomenon//biological made up.

Kaazi kweeeeli kweeeli.
 
Ila pia kumsikiliza mtu kama Ray ni upungufu wa akili... Hajui lolote huyu jamaa na upeo wake ama ufahamu wake wa mambo ni mfinyu mnoo.

MAGO,

Mkuu, aliyeleta Uzi, ameleta kutoka TV station ya EATV sasa hapo watazamaji wameshangazwa sana na matashi ya huyo kijana anayejibadilisha na kuwa kama Lulu USO wake.

Ila Ray ni zero kabisa ndiyo maana, bongo movies imeondoka na Kanumba japo naye hakuwa msomi ila kidogo alitumia vya wakongo na taulo ila alikuwa na hekima na akili ya asili ya kutambua mambo.

"Pumzika kwa amani Kanumba ",
ila umetuachia kitu Ray, anatuchanganya sana kwa muonekano wa ngozi yake mara maji mengi ya kunywa , ghafula oooh ooooh, shida mtu anakuwa mweusi.
 
huyu cheusi dawa lupita nyong'o hajawahi kulala njaa..

220px-Lupita_Nyong%27o_by_Gage_Skidmore.jpg
 
Huoni Mgufuli tangu awe rais kaanza kung'aa na shavu linaanza kutoka?

Joking.
 
Basi yule jamaa muigizaji mwenza wa American ninja
Ama yule aliigiza na shwarzeniger kwenye predator watakuwa na shida sana maana ni weusi balaaa
 
Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida.

Chanzo; EATV

Kwa maana hiyo sie waafrika tumezaliwa weusi kwa sababu sie ni watu wa shida au? Je, na wale wamarekani weusi kivipi? Ray aache kunywa maji tu, Mungu si mjinga kumuumba yeye mweusi.
 
Kwahiyo stephen wassira anashida nyingi saaana?

Ndiyo, na ndiyo maana kila kukicha anapinga ubunge wa Bulaya kwa sababu anataka ulaji bado na nafasi ya kucheza na machangu pale Dodoma.
 
Back
Top Bottom