Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila pia kumsikiliza mtu kama Ray ni upungufu wa akili... Hajui lolote huyu jamaa na upeo wake ama ufahamu wake wa mambo ni mfinyu mnoo.Ray, mwisho atasema watu wanakuwa weusi kwa sababu hawana michepuko.
Alianza na kusema kuwa kunywa maji mengi ndiyo siri ya rangi yake kubadilika na kuwa hiyo light skin color.
Leo, kaja na ngojera za kuwa mtu kuwa mweusi ni kwa sababu ya matatizo (Sijui umaskini na kukosa fedha)
Laiti kama , Ray, angeenda pale Tarime, aulizie tajiri wa vituo vya mafuta, depots za via na soda pamoja na mabasi ya Zacharia Express , aitwaye "Mhe.Peter Zacharia"
Hakika, Ray, angetengua kauli yake hiyo leo ii hii, ila sasa kwa sababu elimu yake ni zero basi acha azidi kuonesha ukilaza wake mbele hadi ya wanae.
Daaah siamini kama Ray biology basic ya form four inamshinda. Ina maana hajui why waafrika sisi ni weusi
Ila pia kumsikiliza mtu kama Ray ni upungufu wa akili... Hajui lolote huyu jamaa na upeo wake ama ufahamu wake wa mambo ni mfinyu mnoo.
Yeye alisema anakunywa maji mengi ndo anakuwa white, sasa mambo ya shida yanatoka wapi?
Anajaribu kuficha ujinga wake wa kujipodoaMsanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida.
Chanzo; EATV
Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida.
Chanzo; EATV
Kwahiyo stephen wassira anashida nyingi saaana?