mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mwenyewe kajichubua kama demu Dengote anashida sio
Usimshangae Ray, ni mwanamme wa Dar yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe kajichubua kama demu Dengote anashida sio
Kwa akili hizi za Ray, hakika Tanzania , serikali bado ina kazi ya ziada hata kama kila familia itajengewa kiwanda.
Edward Lowasa, 2015,,, "Elimu, elimu elimu"
Elimu kwa watanzania walio wengi bado inahitajika sana.
He has a point. Mimi ni mweusi ila kuna wiki nilikaa arusha kwenye hoteil ya kifahar. Sababu kule ni baridi. Nilikuwa nikioga maji ya moto tu. Nikajkuta naoga mara mbili had tatu kwa siku. Kurudi kwetu usukmani kla mtu akaanza nishangaa na kudhani labda nimejichubua.
Kusema ukweli nilikuwa hendsome ni hatari mpaka nlpata night stand pale singida ya wtoto wakal hta ckuwai fikiria. Nililala na wadada wawili kwa pmja
Std 7 !Daaah siamini kama Ray biology basic ya form four inamshinda. Ina maana hajui why waafrika sisi ni weusi
Msanii wa filamu bongo Vicent Kigosi (Ray) amesema watu wanakuwa weusi kutokana na shida.
Chanzo; EATV
Hapana, kwasababu ya kunywa maji... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na watu kuwa weupe Sababu ya Raha Sindio?
kabisa.Watu mmemuelewa sana Ray ila mnataka kuupindisha tu ukweli....
Ukitoa ule weusi wa asili ila pesa bhana zinang'arisha mtu na shida bhana zinampausha mtu.
Ref:
kamuangalie Diamond alivyokua zamani na sasa... lol
Bitter Truth.[emoji23][emoji16][emoji3][emoji38]
MsambaaHivi huyu kaka ni MSANDAWE, MRANGI au MGOGO!!!!!
Kupata Nuru na kuwa mweupe ni sawa mkuu.?Ni kweli ukiwa na unatafuta Pesa kwa jasho ngozi inakosa Nuru.., Pamoja na yote yeye amejichubua!!!
Kituko sana siku hizi huyo.Huyu jombaa simuelewagi kabisaaa....
Hapana si sawa., na hakuna weupe unaopatikana ukubwani..,Kupata Nuru na kuwa mweupe ni sawa mkuu.?