Ray Kigosi asema watu wanakuwa weusi kwasababu ya shida

Ray Kigosi asema watu wanakuwa weusi kwasababu ya shida

Aende sudan akaone mtu mweusi kama guza lkn bilionea

Aendelee kujichubua tu huyo ray
 
Kwa akili hizi za Ray, hakika Tanzania , serikali bado ina kazi ya ziada hata kama kila familia itajengewa kiwanda.

Edward Lowasa, 2015,,, "Elimu, elimu elimu"

Elimu kwa watanzania walio wengi bado inahitajika sana.

Vijana wa bongo fleva hawa, hawafundishiki mpaka serikali imewachoka.
 
He has a point. Mimi ni mweusi ila kuna wiki nilikaa arusha kwenye hoteil ya kifahar. Sababu kule ni baridi. Nilikuwa nikioga maji ya moto tu. Nikajkuta naoga mara mbili had tatu kwa siku. Kurudi kwetu usukmani kla mtu akaanza nishangaa na kudhani labda nimejichubua.

Kusema ukweli nilikuwa hendsome ni hatari mpaka nlpata night stand pale singida ya wtoto wakal hta ckuwai fikiria. Nililala na wadada wawili kwa pmja

Vijana wa kitanzania, kwa kweli bongo fleva inawaharibu akili sana, yaani kuwa mweupe ndiyo kuwa handsome?
 
a76683c4d7dbde944e25f76dc3297230.jpg
 
Nipambane tu hali yangu mie hope kuna siku weupe utakuja
 
Ray hana knowledge yeyote kuhusu jamii,yeye anachojua kutunga bongo movie ambapo yeye masikini kapiga wave amezimikiwa na mtoto wa tajiri basi.
 
Watu mmemuelewa sana Ray ila mnataka kuupindisha tu ukweli....
Ukitoa ule weusi wa asili ila pesa bhana zinang'arisha mtu na shida bhana zinampausha mtu.
Ref:
kamuangalie Diamond alivyokua zamani na sasa... lol

Bitter Truth.[emoji23][emoji16][emoji3][emoji38]
 
yupo sahihi kubisha ni tabia ya watanzania.u kweli shida zinachakaza.
 
Watu mmemuelewa sana Ray ila mnataka kuupindisha tu ukweli....
Ukitoa ule weusi wa asili ila pesa bhana zinang'arisha mtu na shida bhana zinampausha mtu.
Ref:
kamuangalie Diamond alivyokua zamani na sasa... lol

Bitter Truth.[emoji23][emoji16][emoji3][emoji38]
kabisa.
 
Back
Top Bottom