Ray Kigosi asema watu wanakuwa weusi kwasababu ya shida

Kwa akili hizi za Ray, hakika Tanzania , serikali bado ina kazi ya ziada hata kama kila familia itajengewa kiwanda.

Edward Lowasa, 2015,,, "Elimu, elimu elimu"

Elimu kwa watanzania walio wengi bado inahitajika sana.
Sana mkuu
 
Tyrone mofekeng ,

Mkuu, acha kulinganisha vitu vya kijana na wasambaa.

Ray, labda ametokea sayari ya Mars.

Yaani, haelewi kinachoendelea kwenye huu ulimwengu wa Biolojia bali yeye anachojua ni kuweka dawa kwenye nywele kama Lulu , kuweka way, na kujipodoa na kukaa na taulo la kudekia uso.

Aache uzwazwa wa kujichora USO na nywele.

Yeye Kigosi, tunamfahamu tangia akiwa mdogo akiwa mweusi tu kaingia bongo movies akaanza kudeki USO ,powder na taulo sasa kawa na Chinese light skin color ndiyo akaona maswali mitaani yanakuwa mengi ndiyo akaanzisha hizo ngojera za mara kunywa maji mengi ooooooh oooh , kuwa na shida mtu anakuwa mweusi.

Concept yake, inaeleweke kuwa anatafuta namna ya kushawishi watu kuwa yeye siyo "teja la cream za kubadili ngozi from black to artificial Chinese light skin color" japo tuliomwona huyo akiwa mtoto au kijana mdogo hasa akiwa kwenye under 18 years old tunaelewa anachokifanya.

Basi, aseme na nywele zake zile za kipilipili na alizonazo leo "zenyewe ni nini kimesababisha ziwe kama za manyoya ya paka??"
 
Tyrone mofekeng ,

Mkuu, acha kulinganisha vitu vya kijana na wasambaa.

Ray, labda ametokea sayari ya Mars.

Yaani, haelewi kinachoendelea kwenye huu ulimwengu wa Biolojia bali yeye anachojua ni kuweka dawa kwenye nywele kama Lulu , kuweka way, na kujipodoa na kukaa na taulo la kudekia uso.

Aache uzwazwa wa kujichora USO na nywele.
Ni ushamba shamba wa kisambaa
 
img_1213-jpg.627057
 
He has a point. Mimi ni mweusi ila kuna wiki nilikaa arusha kwenye hoteil ya kifahar. Sababu kule ni baridi. Nilikuwa nikioga maji ya moto tu. Nikajkuta naoga mara mbili had tatu kwa siku. Kurudi kwetu usukmani kla mtu akaanza nishangaa na kudhani labda nimejichubua.

Kusema ukweli nilikuwa hendsome ni hatari mpaka nlpata night stand pale singida ya wtoto wakal hta ckuwai fikiria. Nililala na wadada wawili kwa pmja
Kuna tafauti kati ya kuwa mweupr na kutakata.hata mie nkiendaga ulaya nikakaa kidogo nikirudi bongo kila mtu anasema nimeng'aa,kutaka hakubadilishi rangi ya ngozi kunakupa tu un'gaavu.
 
He has a point. Mimi ni mweusi ila kuna wiki nilikaa arusha kwenye hoteil ya kifahar. Sababu kule ni baridi. Nilikuwa nikioga maji ya moto tu. Nikajkuta naoga mara mbili had tatu kwa siku. Kurudi kwetu usukmani kla mtu akaanza nishangaa na kudhani labda nimejichubua.

Kusema ukweli nilikuwa hendsome ni hatari mpaka nlpata night stand pale singida ya wtoto wakal hta ckuwai fikiria. Nililala na wadada wawili kwa pmja
Chai kavu
 
Duuuh
 
Huna lolote we unataka tujue nawe ushakaaga hotel ya kifahari your still black
 
Ray, mwisho atasema watu wanakuwa weusi kwa sababu hawana michepuko.

Alianza na kusema kuwa kunywa maji mengi ndiyo siri ya rangi yake kubadilika na kuwa hiyo light skin color.

Leo, kaja na ngojera za kuwa mtu kuwa mweusi ni kwa sababu ya matatizo (Sijui umaskini na kukosa fedha)

Laiti kama , Ray, angeenda pale Tarime, aulizie tajiri wa vituo vya mafuta, depots za bia na soda pamoja na mabasi ya Zacharia Express , aitwaye "Mhe.Peter Zacharia"

Hakika, Ray, angetengua kauli yake hiyo leo ii hii, ila sasa kwa sababu elimu yake ni zero basi acha azidi kuonesha ukilaza wake mbele hadi ya wanae.
Kwa hiyo mwenye weusi wa asili asiye na shida siku akitumbukia shidani anakuwa wa bluu au kijani?
 
Nkyambe,

Haaa haaa haaa haaa haaa haaaa haaa.

Kwa kweli Ray, anajielewa mwenyewe na mabadiliko ya rangi ya ngozi yake.
 
Ni kweli, mimi zamani nilivyokuwa mambo safi nilikuwa mzungu kabisa, yaani yule mzungu How are you kabisa wala sio utani. Lakini tangu Magu aingie sasa nimebadilika nimekuwa mwafrika kabisa. Usishangae hata Trump akifulia akaanza kuongea Kisukuma.
Mkuu umenichekesha sana
 
Back
Top Bottom