Nina mashaka na uanaume wakeHata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
hahahahahahaahahahahaha JF bana .Hata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
Kwani yeye kasema anakupenda?From my heart, simpendi Ray.
Kwa hiyo weupe ni dili?
Weupe sawa katolea maelezo,nywele je?Labda kama anakunywa maji ya betri
Umeongea vyema ila si kwa hali hiiMimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?
Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.
My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
Hata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
Ndugu we utakuwa unatumia JF tuWatu gani hao wanaojadili nadhani?na wewe ni mpenzi wa habari hizo ndiyo maana unazipata...Mimi sijui hata ni wapi nitapata kuona ama kusikia habari ya huyo anaeitwa Ray...
We blazaaa vipi bhana, wazungu ni weupe tuBasi wazungu wanakunywa maji mengi sana.