Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Hata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
images
images
Nina mashaka na uanaume wake
 
Bila shaka na hizo nywele zmebadilika kwa kula matunda na siyo easy wave
 
Movie zote wanakopi na ku_paste kutoka Nigeria hawajui kipi cha kukopi na kipi cha kuacha
 
Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?

Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.

My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
Umeongea vyema ila si kwa hali hii
Hata mimi nakubaliana nae weupe wake ni matokeo ya kunywa maji sana na si mkorogo.
images
images
 
Nimeshangazwa yangu jana watu walivyobusy kujadili suala la weupe wa Ray na kuacha mambo yote muhimu. Tusipobadilika mapema tutaendelea kubaki hapahapa hata angekuja mtu gani kutuongoza.
 
Watu gani hao wanaojadili nadhani?na wewe ni mpenzi wa habari hizo ndiyo maana unazipata...Mimi sijui hata ni wapi nitapata kuona ama kusikia habari ya huyo anaeitwa Ray...
 
Watu gani hao wanaojadili nadhani?na wewe ni mpenzi wa habari hizo ndiyo maana unazipata...Mimi sijui hata ni wapi nitapata kuona ama kusikia habari ya huyo anaeitwa Ray...
Ndugu we utakuwa unatumia JF tu
 
Rey ndio nani? Sehemu gani walipojadili? Hebu nitag kwenye hyo thread
 
Back
Top Bottom