MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,195
Wazo tu mkuuWe blazaaa vipi bhana, wazungu ni weupe tu
celebrity ipo thread mkuuRey ndio nani? Sehemu gani walipojadili? Hebu nitag kwenye hyo thread
hata wewe unaeendelea kujadili hapa ni mjinga vile vileKweli aisee, hadi kwenye ma group ya whatsup. Nimefungua nakuta meseji na mipicha ya kumjadili mtu. Watanzania ni WAJINGA sana. RIP Mwalimu Nyerere!
Thanks.hata wewe unaeendelea kujadili hapa ni mjinga vile vile
Sasa na wewe ndio umefanya nini? Ndio walewale tu!!Nimeshangazwa yangu jana watu walivyobusy kujadili suala la weupe wa Ray na kuacha mambo yote muhimu. Tusipobadilika mapema tutaendelea kubaki hapahapa hata angekuja mtu gani kutuongoza.
Hahahahahahaha!!!!!!!
Mi nimeliongelea hili ili kuwafanya watu wabadilike kwa waliofanya hivyo na kusoma hapa nadhani next time ikitokea issue ya kitoto kama hiyo hawatakuwa busy nayo ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mpaka leo bado ndio topic.Sasa na wewe ndio umefanya nini? Ndio walewale tu!!
Kiboko hanywi anajihifadhi tuu [emoji1] [emoji1] ! Huenda angekuwa white kama angekumbuka kunywa from AM to PM.Mbona kiboko mweusi tii na anashinda mtoni
Waache watu wa-relax. Hayo mambo muhimu ni yapi? Ni nani ameamua kuwa hayo ndo mambo ya muhimu? Na kujadili tu mambo bila kuchukua hatua unafikiri kunasaidia cho chote? Mangapi yamejadiliwa sana, yakaundiwa kamati na kuandikiwa ripoti lakini hakuna mabadiliko yo yote? Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini the so called celebrities mambo yao huzungumzwa na kufuatiliwa sana?Nimeshangazwa yangu jana watu walivyobusy kujadili suala la weupe wa Ray na kuacha mambo yote muhimu. Tusipobadilika mapema tutaendelea kubaki hapahapa hata angekuja mtu gani kutuongoza.
Siku ulipoingia mtandaoni na kukuta watu wanamjadili John Cena, Messi, Ronaldo au Schwarzenegger nako ulitukana taifa zima na kum-RIP mwanzilishi wao?Watanzania ni WAJINGA sana.