Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Ney kawakimbiza haswa kwa aliyowasema, maana na matambala yaliondolewa kesho yake.
 
Nyie kunyweni maji
Watu wanapaka karoryt halafu tuone nani atakuwa mweupe
ImageUploadedByJamiiForums1455871640.390439.jpg
 
Kweli aisee, hadi kwenye ma group ya whatsup. Nimefungua nakuta meseji na mipicha ya kumjadili mtu. Watanzania ni WAJINGA sana. RIP Mwalimu Nyerere!
 
Two weeks ago nilimuona magomeni mapipa... Dash nilishtuka saaana.. Yaani kadri siku zinavyoenda mbele mwenzetu anazidi kua mtoto
 
Sasa na wewe ndio umefanya nini? Ndio walewale tu!!
Mi nimeliongelea hili ili kuwafanya watu wabadilike kwa waliofanya hivyo na kusoma hapa nadhani next time ikitokea issue ya kitoto kama hiyo hawatakuwa busy nayo ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mpaka leo bado ndio topic.
 
Eti nimesikia mtu mmoja akisema tunywe maji ili tuwe weupe
sasa huyu anywe lita ngapi aisee ili awe mweupee!!!😛😛
 

Attachments

AMEWAPA FUNDISHO KUWA UKITAKA KUWA MWEUPE KAMA YEYE UNYWE MAJI MENGI NA UFANYE MAZOEZI MENGI...
HII NI REPLY KUTOKA KWA DIS- ALIYOPATA TOKA KWA NAY WA MITEGO...#ShikaAdabuYako
 
ha ha haa😀😀😀 hiyo sijawahi kuskia toka nizaliwe duuh au amekosa cha kujitetea....akubali tu anatumia mkorogo kwani ni maisha yake sisi hayatuhusu
 
Nimeshangazwa yangu jana watu walivyobusy kujadili suala la weupe wa Ray na kuacha mambo yote muhimu. Tusipobadilika mapema tutaendelea kubaki hapahapa hata angekuja mtu gani kutuongoza.
Waache watu wa-relax. Hayo mambo muhimu ni yapi? Ni nani ameamua kuwa hayo ndo mambo ya muhimu? Na kujadili tu mambo bila kuchukua hatua unafikiri kunasaidia cho chote? Mangapi yamejadiliwa sana, yakaundiwa kamati na kuandikiwa ripoti lakini hakuna mabadiliko yo yote? Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini the so called celebrities mambo yao huzungumzwa na kufuatiliwa sana?

Don't be so tight mkuu. Inapobidi enjoy life, cheka na wenzako na ukiona jambo halikufai unalipotezea lakini huna haki ya kukemea watu wanaofurahi na kucheka tena bila kumdhuru mtu mwingine.
 
Watanzania ni WAJINGA sana.
Siku ulipoingia mtandaoni na kukuta watu wanamjadili John Cena, Messi, Ronaldo au Schwarzenegger nako ulitukana taifa zima na kum-RIP mwanzilishi wao?

Pengine Watanzania (ukiwemo wewe, mamako na babako pamoja na ukoo wenu wote) ni wajinga lakini kwa hili umewaonea tu. Futa kauli na uwaombe msamaha!
 
Back
Top Bottom