Ray Kigosi na Chuchu Hancy kutarajia mtoto mwingine

Ray Kigosi na Chuchu Hancy kutarajia mtoto mwingine

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Ray Kigosi anatarajia kupata mtoto mwingine na mpenzi wake Chuchu Hansy.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Ray Kigosi amechapisha picha akiwa na Chuchu Hansy ambaye ameonekana na ujauzito na kuandika ujumbe huu .

''MY LOVELY MZUNGU, , maneno hayatoshi kueleza furaha na shukrani nilizonazo moyoni. unakatibia kunipa zawadi ya thamani kuliko zote mtoto wetu wa pili.

Namshukuru Mungu kwa ajili yako na kwa baraka hii kubwa katika familia yetu.
Asante kwa upendo wako na kwa kunipa furaha isiyo na kipimo.

Nakupenda sana MY LOVELY MZUNGU. Mungu ailinde familia yetu na abariki familia yetu daima.
.nakuhaidi kuthamini familia yetu kukupenda sana kusimama na wewe katika kila hatua ya maisha yetU''Ameandika -Ray Kigosi


1787306211132.png
 
Back
Top Bottom