Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
m....a..t..a..k...o matupu yani napandwa na jazba kila nikiwaona aseee!!!
hivi ana elimu gani huyu jamaa??
tuwasamehe bure tu
tuwasamehe bure tu
tuwasamehe bure tu
Demba bure sio issue tuwawekee ka amount
hata mimi nimejiuliza hilo swali kama ni kweli anatafuta nini huyu mtu jameni,
umri unaenda no family then wakifikia stage ya akina gurumo wanaleta story hizo mitu bwana tupa kulehaa haaa haaa major mwendwa tutafanyaje sasa maisha yao wameyafanya kuwa sanaa tupu.
samahan kama hutojali hv huyo kwenye avatar n wewe??haa haaa haaa major mwendwa tutafanyaje sasa maisha yao wameyafanya kuwa sanaa tupu.
Dah kumbe usupa staa una kazi sana. Lool aibu sana. Anazeeka vibaya huyu jamaa.