Mwambie huyoKwani mwaka huu katoa nyimbo ngapi za hip hop, alafu aliyembadili Rayvany kuimba ni Madee ambaye alikuwa anakaa nae ghetto na babutale ambaye alimnunulia mpaka gitaa na si Dj Fetty. Ila Rayvany alikuwa super nyota wa Fiesta kwa kuchana michano ya hip hop na mwaka huu nyimbo alizotoa Makulusa, Siri, Pochi nene (hip hop), Wasi wasi na Nyegezi ukiangalia hapo hip hop song ni moja lakini zote za kuimba.
ya mapacha achana nayoKonde boy anampa mpaka Homa Diamond sembuse rayvany
Hapo umenena mkuu...angalia shoo zake..yaan akipiga mbeleko uwanja mzima unaamka kuimba...af jamaa alivyo pimbi anaupiga kidog anahamia pochi nene....V-Van boy ile style yake huwa haibambi sana nyimbo za club( club bangers). Ila akiimba nyimbo za kusikitika au kubembeleza anakuwa mnomaa. Kama anataka kuimba nyimbo za kubang abadili style.
Ila yote kwa yote, Ray ndio msanii bora kwangu upande wa WCB.Kuna goma lake moja la mbeleko huwa lipo kwenye playlist ya nyimbo zangu za kudumu.
Yule demu ashukuru mbeleko ya kakayake, ukimuona anaperform jukwaani sauti kama amenigwa[emoji16][emoji16]Kijana anatakiwa akaze...la sivyo tutamuungamisha kwenye dustbeen la kina qeen darling