Ray Vanny kama anapotea njia hvi

Ray Vanny kama anapotea njia hvi

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza kuparamia hip hop kitu ambacho kitampoteza ....

Dj fetty alikuwa sahihi kumshahuri dogo aimbe badala ya kufoka (hip hop)....kwa sasa naona label ya wasafi inambeba...asipoangalia hammonize atamwacha mbali zaidi wakat kuna kipind kama alimiga gap fulan hv konde boy...now konde yupo onfire..

Namshaur aimbe..saut yake ipo fresh sana..hip hop awaachie akina yong killer
 
Acha kukariri maisha bwana hata snoop dog huwa anaimba japo ni ngumu hip hop
 
Kwani mwaka huu katoa nyimbo ngapi za hip hop, alafu aliyembadili Rayvany kuimba ni Madee ambaye alikuwa anakaa nae ghetto na babutale ambaye alimnunulia mpaka gitaa na si Dj Fetty. Ila Rayvany alikuwa super nyota wa Fiesta kwa kuchana michano ya hip hop na mwaka huu nyimbo alizotoa Makulusa, Siri, Pochi nene (hip hop), Wasi wasi na Nyegezi ukiangalia hapo hip hop song ni moja lakini zote za kuimba.
 
Mwambie huyo
 
Yaani kufanya 'rap' wimbo mmoja tu imekuwa nongwa. BTW, mi naona mwakahuu amefanya vizuri, si lazima awe sawa na Kondeboy ndo uone yuko vizuri maana hata vidole havilingani
 
Asipoangalia Mboso na Lava lava atawaonea kwenye mnazi
 
V-Van boy ile style yake huwa haibambi sana nyimbo za club( club bangers). Ila akiimba nyimbo za kusikitika au kubembeleza anakuwa mnomaa. Kama anataka kuimba nyimbo za kubang abadili style.
Ila yote kwa yote, Ray ndio msanii bora kwangu upande wa WCB.Kuna goma lake moja la mbeleko huwa lipo kwenye playlist ya nyimbo zangu za kudumu.
 
Hapo umenena mkuu...angalia shoo zake..yaan akipiga mbeleko uwanja mzima unaamka kuimba...af jamaa alivyo pimbi anaupiga kidog anahamia pochi nene....
 
Kijana anatakiwa akaze...la sivyo tutamuungamisha kwenye dustbeen la kina qeen darling
 
bwana mdogo aliingia. kwenye tasnia kwa njia ya kuchana wanaita rap ko nadhani nafsi pia inamsuta kuiacha style iliyomfanya awepo alipo.
 
Kijana anatakiwa akaze...la sivyo tutamuungamisha kwenye dustbeen la kina qeen darling
Yule demu ashukuru mbeleko ya kakayake, ukimuona anaperform jukwaani sauti kama amenigwa[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom