crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Si ndio huyu au???Nitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote
Mionekano yao inanibariki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio huyu au???Nitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote
Mionekano yao inanibariki sana.
wenye View attachment 1549107View attachment 1549108pesa zao .
Mboso kajipiga hina ile ya mabibi harus ....huyo lavalava naye ana twende kilion za dada yake.......Tatizo inaweza kua sio yeye ni amri toka kwa maboss wake ku maintain umaarufu.
Ila mbona mbosso na lava lava hawafanyi hivi au ray keshaanza vuta bangi
Mboso kajipiga hina ile ya mabibi harus ....huyo lavalava naye ana twende kilion za dada yake.......
I wonder how they feel when they take a look at themselves when they are alone
Hivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Au Ben PolHivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Imekupa gari au baraka zao umejenga ghorofa au ni unafiki tuNitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote
Mionekano yao inanibariki sana.
Mbona kama mwandiko wako una Shari dada kuna tatizo lolote 😳😳Imekupa gari au baraka zao umejenga ghorofa au ni unafiki tu
Lavalava huwa anasuka suka mitindo isio na kichwa wala mkia.Tatizo inaweza kua sio yeye ni amri toka kwa maboss wake ku maintain umaarufu.
Ila mbona mbosso na lava lava hawafanyi hivi au ray keshaanza vuta bangi
Lavalava huwa anasuka suka mitindo isio na kichwa wala mkia.
Hivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Nahihi hormones na misingi ya kiume inaambatana sana muonekano.Hivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Huyu bhana huwa anajionaga yupo USA kabisa na sio Bongo [emoji23][emoji23]
Kala ni kijana anaejielewa sana.Hivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah