Ray Vanny new looks

Ray Vanny new looks

Attachments

  • 1dc64c79df18c434b3b9d2853bfce71d.jpg
    1dc64c79df18c434b3b9d2853bfce71d.jpg
    7.6 KB · Views: 2
  • 460b67c0ee0f04dce4dd5432ef2bdc25.jpg
    460b67c0ee0f04dce4dd5432ef2bdc25.jpg
    8.5 KB · Views: 2
Tatizo inaweza kua sio yeye ni amri toka kwa maboss wake ku maintain umaarufu.

Ila mbona mbosso na lava lava hawafanyi hivi au ray keshaanza vuta bangi
Mboso kajipiga hina ile ya mabibi harus ....huyo lavalava naye ana twende kilion za dada yake.......

I wonder how they feel when they take a look at themselves when they are alone
 
Yaan daah hawa vijana wanapitiliza kujiremba kwa kisingizio cha ustaa
Mboso kajipiga hina ile ya mabibi harus ....huyo lavalava naye ana twende kilion za dada yake.......

I wonder how they feel when they take a look at themselves when they are alone
 
Tatizo inaweza kua sio yeye ni amri toka kwa maboss wake ku maintain umaarufu.

Ila mbona mbosso na lava lava hawafanyi hivi au ray keshaanza vuta bangi
Lavalava huwa anasuka suka mitindo isio na kichwa wala mkia.
 
lava lava jamaa ana nyota ya giza yule mpaka anasahaulika. Ila huyu alikua kioo wao namba mbili kabla zuchu hajachukua nafasi yake
Lavalava huwa anasuka suka mitindo isio na kichwa wala mkia.
 
Hivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Nahihi hormones na misingi ya kiume inaambatana sana muonekano.

Lets go back, ktk kipindi cha nyuma. Ukikutana na mwana hiphop, utaona mwanaume flan mwenye misingi yake. Tupac, biggie, Coolio,Common, 50cents,Eminem etc. Hata contents zao zilikuwa ni misngi, akiimba kuhusu mapenzi unaona mwanaume anaongea na mwanamke.

Sasa chunguza new era, Wakina Asap rock, 69tekash ndio hizi sampuli. Unakuta mwanaume anajichora tattoo za maua usoni, tena na rangi rangi, za rasta ,upumbavu mtupu.
 
Back
Top Bottom