barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
Alichomaanisha ni KUWEZA KUPANGA NYUMBA YAKE...ila sababu kantumia TUNGO TATA hadhira imechanganyikiwaIla kwake kuna maana nyingi hata ukipanga ni kwako BTW siku hizi kuna nyumba zinauzwa kwa mkopo
Vyovyote iwavyo anafaa kupongezwa si kazi rahisi hiyo
wewe ntakuchapa vibokoWasanii walikutana.
SpeculationsWcb wanashirikiana na riz one kupoteza mchele nchini
Zipi mkuu? Ndio swali la jamaaAmepiga show nyingi tu kuliko hata wasanii wakubwa unaowafahamu
na wote ni marais japo moja ndio hivyo kastaafu.Wasanii walikutana.