Raymond wa Wasafi ana uhusiano gani na huyu kijana wa kiume?

Duh!! hi hatar, ila hawa machoko wanapenda kufosi mapenzi inawezekana hata rayvanny hamjui
 
Aisee kama ni mpira tunaita ni kipindi cha kupiga matuta....hajielewei
 
So sad kwa mwenye mtoto inabidi afanye juu chini kumrudisha kijana wake katika hali ya kawaida..uchungu wa mwana aujuae mzazi asee
Kumrudisha siyo kazi ndogo kama unavyo dhani wewe! Kuna bilioner mmoja Mmarekani kama sikosei ana mtoto wake wa kike jamaa alitangaza dau kama bil 1 kwa mtu yoyote atakae weza kumbadilisha mtoto wake awe na hisia na jinsia ya kiume atakae weza anachukua mzingo! Nilipata bbc ukiitafuta unaipata
 
Kwahiyo mzazi akate tamaa juu ya kumsaidia mwanae kisa huyo Bilionea alishindwa?
 
Wanaowatatua hawaWatoto watambuliwe watengwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…