MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
jumapili iliyopita nilikutana na mtoto wa 18yrs wa kiume saluni alikua yupo hv niliongea nae mengi pamoja na kuniambia yeye anajiona mwanamkeUkimtazama huyo kijana ni dhahiri ndani ya ubongo wake anajiona msichana
wataalam wanaita 'gender disorder'
hutokea kwa baadhi ya watoto ubongo ukatambua jinsia ingine
wakati watoto wana mizei mitatu
wengine hurudi kuwa norma wengine hairudi....
ndo hawa.....
ni ugonjwa tu wa ubongo....kumtukana sana wala sio dawa
hata akiguswa na mwanamke hasisimki ila akiguswa na mwanaume anasisimka
aliniambia mengi hadi leo nimemkwepa nilipomuona
kiufupi alikuwa hivyo tangu alivyoanza kujielewa ila wazazi wake waliamini atabadilika akikua ila haikua hvyo aliacha shule fm3 kwa sababu alizokataa kuniambia
kilichonishangaza huwa anapata mitongozo au kuombwa namba ya simu watu kati ya 10 hadi 15 kwa siku wengine wakiwa ni watu wazima