Raymond wa Wasafi ana uhusiano gani na huyu kijana wa kiume?

jumapili iliyopita nilikutana na mtoto wa 18yrs wa kiume saluni alikua yupo hv niliongea nae mengi pamoja na kuniambia yeye anajiona mwanamke
hata akiguswa na mwanamke hasisimki ila akiguswa na mwanaume anasisimka
aliniambia mengi hadi leo nimemkwepa nilipomuona
kiufupi alikuwa hivyo tangu alivyoanza kujielewa ila wazazi wake waliamini atabadilika akikua ila haikua hvyo aliacha shule fm3 kwa sababu alizokataa kuniambia

kilichonishangaza huwa anapata mitongozo au kuombwa namba ya simu watu kati ya 10 hadi 15 kwa siku wengine wakiwa ni watu wazima
 
Ila tujiulize hawa watu wanaingiliwa na kina nani??kama sio wanaume nyie
 
Roger that Gender identity disorder, Ila huyu atakua Gay tu, na tatizo la u Gay halipo among matatizo ya watu wenye akili
 
nikiona hivi naogopa hata kuzaa mtoto wa kiume!
Khatari sana wanaosema ugonjwa ina maana umekuwa wa mlipuko? sio kwamba zamani hawakuwepo ila sio kwa mwendokasi huu sasa imekuwa kama fashion ya nguo maana kila mtaa unakuta kuna hawa wanaojibatiza uanamke ila tuwe wa kweli sisi wanamume baadhi yetu ndo wanafanya hawa mabaradhuli waendelee kuwepo maana kama hakuna soko wataendelea kushamiri vipi?
 
utandawazi huu umekuja na changamoto zake!
Nawahurumua sana wanawake wenzangu maana walivyozaa watoto wa kiume walisifiwa sana mwisho wa siku ni aibu tupu wanazozipata!
 
Mboga za mlenda kwetu tunakulaaga.....katoto kadogo watu washatatua marinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…