Raymond wa Wasafi ana uhusiano gani na huyu kijana wa kiume?

Raymond wa Wasafi ana uhusiano gani na huyu kijana wa kiume?

Kaah watoto wa siku hizi ni vituko tu...tujitahidi katika malezi ili tuokoe kizazi kile ambacho wazazi wataogopa kuwa na watoto wa kiume.
Yaani kitakuwa kama Mombosa mtoto wa kiume analindwa zaidi na wazazi kuliko yule wa kikie.
 
Nina watoto wa kiume,siwezi sema lolote ila Allah aniepushie tu
 
Kama wewe ni mzazi, jambo hili utalitazama kwa jicho la kitofauti./kipekee
 
Huyu kijana @kidotibyb ni shoga, hawa huwa mara nyingi wana tabia ya kuwapenda wanaume wenzao kwa nguvu, hata kama wao hawawataki.

Nilishaona pia kwa shoga mwingine aitwaye JAMES DELICIOUS alikuwa akimlazimisha mwanaume mwezie aitwa JUMA- JUX,.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha alikuwa anamuita mume wangu[emoji134]
 
halafu raymond hata hajawahi kukanusha aisee
 
Haya madudu ndio yanafanya niitumie JF kama sehemu nambari moja.
 
Back
Top Bottom