Hahah siwezi kuwaangusha wazee.Nakukubali upo vizuri tokea ulivyo rithishwa hujawai kuwaangusha wazee
Na wamewasiliana kwa lugha gani?Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
HahahhhHahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha
kiki imepata mteja, kijana anatumia fursaHuyu sasa kazidi,muda si mrefu tutamzimia mic.
hahaha,au Sharuu MR lover lover
hadi akina Govinda wanasanda...A͙n͙a͙ n͙y͙o͙t͙a͙, h͙a͙d͙i͙ k͙i͙n͙a͙ G͙o͙v͙i͙n͙d͙a͙!!
Tatizo wanaongeza chai mnoWabongo kawaida yao hakuna cha kwao wanachokipenda, uswahili nao ni kipaji
we mtoto emu muogope Mungu, habari za kutulisha matango pori kaka zako sio nzuri.. ingawa nimeishaisikia ile collabo uliyofanya na yule mwanamziki maarufu wa kutoka nchi ya KwinginekoAmesema amepigiwa simu kutoka Marekani, Italia, India na kwingineko wakitaka kolabo
Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha