Raymond: Wimbo wa 'Salome' umenipa kiki kubwa sana, natafutwa dunia nzima nikafanye kolabo

Raymond: Wimbo wa 'Salome' umenipa kiki kubwa sana, natafutwa dunia nzima nikafanye kolabo

Kimbila india ukafanye kolabo na mithun chakarabot mzee wa disco dancer ili upate cm za nchi nyingine km azbeijan,afighan stan pakistan...
 
Good job, kaza buti kijana safari bado ni ndefu usilewe sifa.
 
Anatafutwa akafanye kilabo HAITI.
 
Amesema amepigiwa simu kutoka Marekani, Italia, India na kwingineko wakitaka kolabo
we mtoto emu muogope Mungu, habari za kutulisha matango pori kaka zako sio nzuri.. ingawa nimeishaisikia ile collabo uliyofanya na yule mwanamziki maarufu wa kutoka nchi ya Kwingineko
 
Hahahaa italia kapigiwa na nani?namba yake wanaitoa wapi?
India sawa atakuwa kapigiwa na amita bacha


italia labda alipigiwa na papa benedicto akawatumbuize mashemasi na watawa wa pale vatican
 
Back
Top Bottom