Rayuu: Natafuta mwanaume wa kunioa na kuniweka ndani

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"

Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.

Akifunguka Rayuu alisema "natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye atakuwa mkweli atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela nataka niwe mke halali wa mtu tena mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana"

Pia aliongezea kwa kusema "mimi ni binti mzuri tena bado mdogo hivyo maisha ya kurukaruka nimechoka"
angalia picha zaidi hapa at www.maswayetu.blogspot.com
 
Huyu si ndo yule aliyesambaza picha za pilau mtandaoni?
 
Yan ninavyoenda huyu mtoto....bac tuu...Rayuuu I LOVE YOU SO MUCH GIRL
 
-------- sana !

Aliokuwa anawapa wapi sahizi !
Si alijifanya anamegwa na mmiliki wa klabu akaolewe na huyo huyo !
 
wa kumuoa kisha amuweke ndani kwani kakosa nini? nani sasa atamchukulia dhamana?
 
RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"

Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.

Akifunguka Rayuu alisema "natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye atakuwa mkweli atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela nataka niwe mke halali wa mtu tena mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana"

Pia aliongezea kwa kusema "mimi ni binti mzuri tena bado mdogo hivyo maisha ya kurukaruka nimechoka"
angalia picha zaidi hapa at www.maswayetu.blogspot.com

Mimi nipo kwani nilikuwa natafuta mke wa kuoa mwambie niko tayari hata leo......thanks God
 
Back
Top Bottom