Ha ha ha maskini ndo maana alisemaga anatamani kuolewa na kingwendu!!!
kazi kweli kweli mbona kazuri tu
kuna siku alisema hvo am nt sure kama ni magazeti tu udaku au kwa kinywa alitamka ila habari ndo ilikua hvo anataman kuolewa na kingwenduAlitamani kuolewa na KINGWENDU!
Duuuh!
Si aje tyuu kwangu ntampa mapenzi ya kweli mimi siangalii mvuto naangalia tabia kama vipi dada rayuu kwa namba zangu hizi 0718747070
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
we kweli mgeni JF na number umeweka? mfyuuuu
Si aje tyuu kwangu ntampa mapenzi ya kweli mimi siangalii mvuto naangalia tabia kama vipi dada rayuu kwa namba zangu hizi 0718747070
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tatizo unachukua wanaume sio type yako ,we level ya pnc lakin unataka kudate na jux with alot of expectation
c bora PNC,,, best nasoTatizo unachukua wanaume sio type yako ,we level ya pnc lakin unataka kudate na jux with alot of expectation
c bora PNC,,, best naso