Rayuu: Sina mvuto wa mapenzi

Rayuu: Sina mvuto wa mapenzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MCHEZA filamu za Kibongo, Alice Bangezi ' Rayuu', amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa dharau kubwa .

Rayuu alitoa siri hiyo iliyo ndani ya mtima wake, baada ya kuwekwa kati na paparazi wetu ambaye alitaka kujua sababu kubwa inayomfanya kubadilisha wanaume, ndipo alipotoa neno hilo zito kwamba huwa anaachwa kwa sababu hana mvuto na utaalamu wa kuwateka wanaume kama wanawake wengine.
 

Attachments

  • 1419056686168.jpg
    1419056686168.jpg
    42.4 KB · Views: 1,207
Mvuto wa umaarufu pia huna, kweli una nuksi, kaimbe tu kwaya kanisani upate thawabu, maana umaarufu ushakukataa toka enzi za kaole
 
Huyu halafu atakuwa kadumaa kama memeee manake toka enzi zile za kaole yupo hapo hapo...hakuiii....

Na mvuto hana kweli....
 
Aje kwangu sitamwacha kamwe,namzimia huyu mtoto balaaa
 
Ha ha ha maskini ndo maana alisemaga anatamani kuolewa na kingwendu!!!
kazi kweli kweli mbona kazuri tu
 
Alitamani kuolewa na KINGWENDU!
Duuuh!
kuna siku alisema hvo am nt sure kama ni magazeti tu udaku au kwa kinywa alitamka ila habari ndo ilikua hvo anataman kuolewa na kingwendu
 
Si aje tyuu kwangu ntampa mapenzi ya kweli mimi siangalii mvuto naangalia tabia kama vipi dada rayuu kwa namba zangu hizi 0718747070

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Si aje tyuu kwangu ntampa mapenzi ya kweli mimi siangalii mvuto naangalia tabia kama vipi dada rayuu kwa namba zangu hizi 0718747070

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Wee jamaa naona umeamua kujilipua kabisa! ama nini
 
Tatizo unachukua wanaume sio type yako ,we level ya pnc lakin unataka kudate na jux with alot of expectation
 
Huyo dogo alijichafuaga mwenyew saiv atulie tu
 
Kina Jux/Mo racka wana-boostiwa na hela za wazazi,hata PNC/Best Naso wakiwa nazo wata-shine tu,mbona Domo sura imechacha lakini anaonekana hendisamu?
 
Back
Top Bottom