Rayvanny aendelea kuonyesha ubabe wake Afrika

Amaboko ni neno la kinyarwanda kwa kiswahili likiwa na maana ya mikono.
sie team ushindi(wcb) tunafuraha daily bt nyie team kushindwa(konde & kiba) furaha yenu ni ya msimu, leo umecoment kistarabu nadhani hadi mods wanashangaaa
 
Team WCB kuna siku mnashangaza hadi domo mwenyewe anawashangaa

dada angu ninakupenda sana bt hata sijui kwa nini unafuga chuki hivo? aliebarikiwa kabarikiwa tu hata umchukie vipi hawezi pungukiwa, alafu mungu alivyo wa ajabu huyo mnaemwita domo kambarikia zaidi ili hater muendelee kuteseka daima.

nb: mambo mazuri yote yanapatikana wcb, nje ya wcb kunapatikana utopolo pekee.
 
Wajinga ndio mna akili hizo chuki mnazo nyie bado mnataka kila mtu awashobokee. Misukule bana

wenye chuki hua hawafanikiwi, wcb team na fans wake wote wanaroho nzuri ndo maana wanachanja mbuga daily tofauti na nyie team chuki, mambo kwenu daily yanawachachia.
 
Back
Top Bottom