Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
Una point lakini hii sio planned mzee ,,unachokisema wewe kinakuja kama faida tu baada ya yote kutokeaBaada ya kufatilia hili sakata linaloendelea kati ya Harmonize (KondeGang) na Rayvany (Wasafi) maoni yangu ni kwamba Wasafi wameshinda hii battle ingawa kwa jicho la kawaida unaweza usigundue. Nachoona hapa Wasafi lengo lao Kubwa ni kuihamisha hii bifu ya Harmonize dhidi ya Diamond, na kuipeleka kwa Harmonize dhidi ya Rayvany kwakuwa waliona Diamond hanufaiki na bifu hilo, ila kwa Rayvanny itamsaidia kukua zaidi huku Harmonize akibaki palepale au kushuka.