sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Ndio kakaHiyo ndio picha ya nyumba yewenyewe?
Mnafunndishwa art nyinyi wagoroko msio na exposureNdo akili zetu hz
Mbona gari la polisi limeandikwa kizungu? hii ni muvi ya mbele huko dogo acha kuongopaNdio kaka
Hahaha kibongo bongo angetumia PT au sio 🤣Mbona gari la polisi limeandikwa kizungu? hii ni muvi ya mbele huko dogo acha kuongopa
Its so sad polisi wetu bado hawaruhusu gari zao au gwanda zao kutumika kwenye sanaa yetu. Hiyo gari imewekwa stika tu hapo kupata uhalisia wa tukioMbona gari la polisi limeandikwa kizungu? hii ni muvi ya mbele huko dogo acha kuongopa
Rayvanny si alishaondoka Wasafi, amerudi tena ?CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you.
Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa shughuli hiyo tu.
Biashara ya muziki ni sayansi wengine wajifunze.
View attachment 2246804
Hajawai kuondoka Wasafi, hizo ni wishes tu za vijana wachawi.Rayvanny si alishaondoka Wasafi, amerudi tena ?
Ndio kashaichoma basi nendeni mkamshtaki wanga wakubwa nyieSheria za nchi yetu ukichoma moto nyumba ni KIFUNGO CHA MIAKA 30. Acheni uongo usio na maana
Basi ana video shooters/editors wabovu. Hiyo ni effect unaweza itengeneza kwenye editing software bila kufanya huo ujinga!CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you.
Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa shughuli hiyo tu.
Biashara ya muziki ni sayansi wengine wajifunze.
View attachment 2246804
Wanatuona sisi ni wapumbavu.After Effects hiyo.