Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hata hujamuelewa, amemaanisha hicho ni kitu kinafanyika ndani ya software ya ku edit video akatoa mfano wa software kama After effects.Tazama video kuanzia dk ya 5.23
Kwa kutumia hiyo software mtu anaweza kuku edit hata wewe ukatoka unawaka moto kichwani.