Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

Basi ana video shooters/editors wabovu. Hiyo ni effect unaweza itengeneza kwenye editing software bila kufanya huo ujinga!

NB: Mbona hujaweka picha za nyumba ikiwa inajengwa?
Unataka picha ya nyumba ikiwa inajengwa? Basi subiri behind the scenes. Nakushauri tu punguza ujuaji kwa kitu usichokielewa vizuri.
 
Hata hujamuelewa, amemaanisha hicho ni kitu kinafanyika ndani ya software ya ku edit video akatoa mfano wa software kama After effects.

Kwa kutumia hiyo software mtu anaweza kuku edit hata wewe ukatoka unawaka moto kichwani.
Kama bongo movie au vp 😃😃
 
Mwanangu we ni kiazi
 
Kiki
 
😂😂 nyumba ilikuwa ni 5ml sio usishtuke sana!
 
Na bado Video ni mbovu, kwa u bongo movie wao story haija kaa poa
 
Tz mko vizur moto kidogo mara polisi mara ambulance mara fire

.....ashukuriwe marehem
 
RayVanny Ajenga Nyumba Kisha Aitia Moto.

CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you.

Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa shughuli hiyo tu.

Biashara ya muziki ni sayansi wengine wajifunze.

#Nitamlea
#RayVani
#Wcb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…