American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Scene za meanzo zimenikumbusha kuch kuch hota hai wakati Raul akimfuata Angel wakati anaondoka.Tazama video kuanzia dk ya 5.23
Kweli mkuu hata mimi sidhani kafanya hivyo, ila movie nyingi siku hizi wanafanya kweli maana watu siku hizi wanahundua effects kwa urahisi. Mfano movie za fast and furious 7 yale magari yalidondoshwa kweli kutoja kwenye ndege. Kuja vitu vingine vinajengwa kweli unakuta upande tu labda.Basi ana video shooters/editors wabovu. Hiyo ni effect unaweza itengeneza kwenye editing software bila kufanya huo ujinga!
NB: Mbona hujaweka picha za nyumba ikiwa inajengwa?
kwaiyo kumbe tukio sio halisi 👏Its so sad polisi wetu bado hawaruhusu gari zao au gwanda zao kutumika kwenye sanaa yetu. Hiyo gari imewekwa stika tu hapo kupata uhalisia wa tukio
Kwanza serikali isingekubali huo upuuzi maana unahatarisha maisha ya wengine.Wanatuona sisi ni wapumbavu.
Hata haya huna tuoneshe nyumba hiyo kabla haijaungua au anza kuunguaNdio kaka
kachukua picha za mamtoni huko anakuja kudangnya watu. Angalia kuanzai wanaoshangaa, gari la polisi na fire, vyote ni vya kwa wazungDah! Nilikuwa na usingizi, wote umekata!
Hautakiwi kusema, eti siku hizi hali ni ngumu, sema, "Mimi nina hali ngumu!"
imekufanya mlete huo uzi wenu hapa, kweli JF imebadilika sana. Nadhani hizi Master Gin nazo zina madhara kwenye uwezo wa kufikiriaTazama video kuanzia dk ya 5.23
Mbona page yake ya insta kafuta ile sehemu ya kusema amekuwa signed under wasafi?Hajawai kuondoka Wasafi, hizo ni wishes tu za vijana wachawi.
Tabia ya kupenda kusikia sikia info za wanaume , utakuja kushikishwa ukuta pasipo kutegemea.Acheni kudanganywa nyie, huyo dogo hana makazi yanayo julikana nasikia anaishi ofisini kwake…..
wee shogaa kafie mbele na hiyo biashara yako ya kimchele mchele, unalazimisha kuingiziwa nyama?? pumbafuu wee, kwa taarifa yako hapa ume press wrong button...…..Tabia ya kupenda kusikia sikia info za wanaume , utakuja kushikishwa ukuta pasipo kutegemea.
Utashikishwa ukuta ukiendelea na tabia yako ya kufuatilia yasiyokuhusu.wee shogaa kafie mbele na hiyo biashara yako ya kimchele mchele, unalazimisha kuingiziwa nyama?? pumbafuu wee, kwa taarifa yako hapa ume press wrong button...…..
Kama kuna pimbi zimeamini jamaa alijenga nyumba na kuweka vitu ndani mwisho akaichoma basi wataamini pia vannyboy kajichoma humo ndaniTazama video kuanzia dk ya 5.23
Wakikupa hizo unijuze mkuuLeta picha za ujenzi wa hiyo "nyumba"