Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habari Wana Jf.
Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.
Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.
Pia lingine sikuona Kama Kuna haja ya yeye kujibu Kama hakupendezwa kwa Diamond platnumz angekaa kimya tu kuliko kutafuta Busta kwa baba Yake kimuziki.
Harmonize inabidi ampite Rayvanny kwanza ndio aende kushindana na Diamond Platinumz.
N.B Harmonize wewe bado underground Sana kwa Rayvanny na Diamond Platinumz.