Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Sijauliza sound from Africa mkuu, Kelebe ina views ngapi hadi wiki hili?
Afro-francoise country inapeta, na YouTube mpaka now Ni 1 trending for music na pia SOUND FROM AFRICA Ina streams 9.5m boom play,25m Spotify na 10m Audiomack huku afroeast Ina 2.3m boomplay, 2.5m Spotify na 12m Audiomack huku nyingine Ina miezi 4 na nyingine mwaka 1 na nusu[emoji23][emoji23][emoji23]