Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
- Thread starter
- #61
Sawa zabibu kibaUnatumia nguvu kubwa sana kumpamba mwanaume mwenzako humu,au ndio chakula tayari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa zabibu kibaUnatumia nguvu kubwa sana kumpamba mwanaume mwenzako humu,au ndio chakula tayari?
Ni kweli ni mkubwa huyo mr matiti, kuhimili sponsor la kwa Mugabe 🤣🤣🤣RAYVANNY NI MKUBWA KULIKO MATAKO MAKUBWA WA KIMAKONDE FULL STOP
It's so sad mkuu,Unatumia nguvu kubwa sana kumpamba mwanaume mwenzako humu,au ndio chakula tayari?
Sawa huyo Matako makubwa kustahimili sponsor la jembe[emoji23][emoji23][emoji23] Rayvanny Ni BET WINNERSNi kweli ni mkubwa huyo mr matiti, kuhimili sponsor la kwa Mugabe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko sawa kabisa.
Kama wewe na yeye sawa kijana wa chuo boom limeisha sanaIt's so sad mkuu,
Unakuta huyu kijana ndio wale wale wa Vyuo badala ya kuumiza kichwa wawe creative na innovative yeye kutwa na WCB hajui kuwa umri wasonga.
Huyo mwamba ana kichwa kigumu kama cha samaki asiyekolea viungo , utakesha chiefNa sema kwa maana kipindi anachukua Rayvanny na harmonize alikua upcoming, means hakuwa mkali sio...? Endelea kukaza fuvu, puru square na utazaa kwa uchungu square mwaka huu[emoji23][emoji125]
We kima tuliza mshedede , unalonga Sana we kibwengoHivi BET aliyopata Rayvanny kuna msanii mwingine aliwahi kupewa. Ni kama kilikuwa kituzo cha kuchonga ila jamaa anavyo ki-hype unaweza kudhani ni tuzo ya maana sana.
Tuzo za BET walizowahi kupata Eddy Kenzo, Black Coffee, Davido, Wizkid ni tofauti kabisa na hiyo aliyopewa Rayvanny.
Ya Rayvanny ilikuwa ni viewers choice ambayo haijawahi kutolewa tena maana haikuwa na issue yoyote.
Wasanii wamekuwa too obssessed Tuzo yaani mpaka kina Karen naona wameenda kupewa Tuzo huko Zambia🤣 yaani ni ilimradi mtu aonekane ana tuzo.
Kina Rayvanny watulie tu, wanafanya muziki kipindi ambacho Tuzo nyingi zimekufa then, it's okay.
Hiyo BET Diamond amewahi kuingia mara kibao lakini hajawahi kushinda.
Kwani tuzo ya BET ni big deal kihivyo? Tena BET viewers choice🤣
Tuzo yenyewe ni ile ya kipengele kisicho na hadhi hata ya kuonyeshwa kwenye live show!
Shaking my damn head!!
Mshedede hauwezi kutulia ukiona matiti ya mr. Tipwa tipwa na lipstick zao.We kima tuliza mshedede , unalonga Sana we kibwengo
Nani umpelekee Moto we kibabu usiye na makaoMshedede hauwezi kutulia ukiona matiti ya mr. Tipwa tipwa na lipstick zao.
Ni mwendo wa kupeleka motooooo. Peleka motooooo.
Nawapelekea motooooooooooo🔥🔥
Mr. Tipwa tipwa mwenye matiti🤣Nani umpelekee Moto we kibabu usiye na makao
Sawa Dida tumekuelewa uolewe sasaHabari Wana Jf.
Hili amelolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na husiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.
kiukweli Kama harmonize Ni mkubwa angekua na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.
Pia lingine sikuona Kama Kuna haja ya yeye kujibu Kama hakupendezwa kwa Diamond platnumz angekaa kimya tu kuliko kutafuta Busta kwa baba Yake kimuziki.
Harmonize inabidi ampite Rayvanny kwanza ndio aende kushindana na Diamond platinumz.
N.B harmonize wewe bado underground Sana kwa Rayvanny na Diamond platinumz.
Sawa zabibu kiba kalee mtotoSawa Dida tumekuelewa uolewe sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mbavu zangu uwiiiiihMr. Tipwa tipwa ana matiti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muziki umemshinda katafuta sponsor bwana Zimbabwe.
Ni mwendo wa mashine tu .....
Mashine ......... Mashineeeeeeee
Tulia wee, na utazaa mwaka huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia wewe[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pesa za digital platforms zina mgao mkubwa. Yeye anasubiria kupewa tu kimgawo.
Hana pesa ndio maana katafuta bwana sponsor huko Zimbabwe.
Hana ubavu hata wa kumiliki PASSWORD ya YouTube Channel yake, sembuse pesa[emoji1787]
Shows gani kafanya ?
Ondoa tamasha la Wasafi tumewasha Tour, maana huko alikuwa anatumika tu kama msukule.
Hiyo endorsement ya Cocacola ni ya nchi gani ? Au Coca ya Sponsor Mzimbabwe[emoji1787]
Unacheka utopolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mbavu zangu uwiiiiih
Timu pinzaniTulia wee, na utazaa mwaka huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi ile attitude, iliyosemekana kuwa umekuja kuipindua waah? 😅Kelebe imefikia wapi?
Una ugonjwa mbaya Sana infact harmonize hakujui na unachuki nae utakuja kuwa mchawiHabari Wana Jf.
Hili amelolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na husiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.
kiukweli Kama harmonize Ni mkubwa angekua na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.
Pia lingine sikuona Kama Kuna haja ya yeye kujibu Kama hakupendezwa kwa Diamond platnumz angekaa kimya tu kuliko kutafuta Busta kwa baba Yake kimuziki.
Harmonize inabidi ampite Rayvanny kwanza ndio aende kushindana na Diamond platinumz.
N.B harmonize wewe bado underground Sana kwa Rayvanny na Diamond platinumz.