Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Hyo Tuzo unayoiona ya kawaida kumbuka Hakuna msanii wa mwingine TZ ashawai ipokea, hvyo inabaki kwenye vitabu vya historia latika sanaa ya Bongo fleva
Ni msanii gani mwingine duniani amewahi kupewa hicho kituzo ?
 
Cheki hii kima, et WizKid ana sku yake Minnesota ..what a shit , utazani anakujua ... Anyway kama unamuingiza WizKid kama reference ya kumu-outclass Rayvanny , basi vannyboy n mtu mkubwa Sana .....
Ila jarbu kumtetea hata Marioo au harmonize utaonekana wa maana kuliko kukimbilia kujibanza Nigeria ....
Wewe huyo vanny ni nduguyo? Unaambiwa ukweli unarukaruka hapa, peleka ungese huko. Watu wenye kujua utamu wa BET wametulia, hawana mbwembwe!
 
Wewe huyo vanny ni nduguyo? Unaambiwa ukweli unarukaruka hapa, peleka ungese huko. Watu wenye kujua utamu wa BET wametulia, hawana mbwembwe!
Ni mtanzania mwenzagu hyo inatosha kujivunia katika national level , wewe huyo Burnaby au WizKid ni ndugu yako ?? Yaweza kuwa ni mwafrica mwenzako....Yeees..hata hvo ni mwehu tuu kama wewe anayeweza kuruka undugu wa national level kwenda Continental level .....

Moja ya akili za kibwengo hzo unazoonyesha
 
Sawa kamwambie akuzawadie ka vitz basi sababu sivyo unavyomshobokea!
 
Mlisema ni ya diamond sa hv mmehamia Kwa mzimbabwe watz hamna dogo
Dogo kwa lipi? Hivi si mlisema na files za konde boy mtaweka hadharan, mbna kmya had now time? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom