Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Ni kweli ni mkubwa huyo mr matiti, kuhimili sponsor la kwa Mugabe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Uko sawa kabisa.
Sawa huyo Matako makubwa kustahimili sponsor la jembe[emoji23][emoji23][emoji23] Rayvanny Ni BET WINNERS
 
It's so sad mkuu,

Unakuta huyu kijana ndio wale wale wa Vyuo badala ya kuumiza kichwa wawe creative na innovative yeye kutwa na WCB hajui kuwa umri wasonga.
Kama wewe na yeye sawa kijana wa chuo boom limeisha sana
 
Na sema kwa maana kipindi anachukua Rayvanny na harmonize alikua upcoming, means hakuwa mkali sio...? Endelea kukaza fuvu, puru square na utazaa kwa uchungu square mwaka huu[emoji23][emoji125]
Huyo mwamba ana kichwa kigumu kama cha samaki asiyekolea viungo , utakesha chief
 
Hivi BET aliyopata Rayvanny kuna msanii mwingine aliwahi kupewa. Ni kama kilikuwa kituzo cha kuchonga ila jamaa anavyo ki-hype unaweza kudhani ni tuzo ya maana sana.

Tuzo za BET walizowahi kupata Eddy Kenzo, Black Coffee, Davido, Wizkid ni tofauti kabisa na hiyo aliyopewa Rayvanny.

Ya Rayvanny ilikuwa ni viewers choice ambayo haijawahi kutolewa tena maana haikuwa na issue yoyote.

Wasanii wamekuwa too obssessed Tuzo yaani mpaka kina Karen naona wameenda kupewa Tuzo huko Zambia🤣 yaani ni ilimradi mtu aonekane ana tuzo.

Kina Rayvanny watulie tu, wanafanya muziki kipindi ambacho Tuzo nyingi zimekufa then, it's okay.

Hiyo BET Diamond amewahi kuingia mara kibao lakini hajawahi kushinda.

Kwani tuzo ya BET ni big deal kihivyo? Tena BET viewers choice🤣

Tuzo yenyewe ni ile ya kipengele kisicho na hadhi hata ya kuonyeshwa kwenye live show!

Shaking my damn head!!
We kima tuliza mshedede , unalonga Sana we kibwengo
 
We kima tuliza mshedede , unalonga Sana we kibwengo
Mshedede hauwezi kutulia ukiona matiti ya mr. Tipwa tipwa na lipstick zao.

Ni mwendo wa kupeleka motooooo. Peleka motooooo.

Nawapelekea motooooooooooo🔥🔥
 
Mshedede hauwezi kutulia ukiona matiti ya mr. Tipwa tipwa na lipstick zao.

Ni mwendo wa kupeleka motooooo. Peleka motooooo.

Nawapelekea motooooooooooo🔥🔥
Nani umpelekee Moto we kibabu usiye na makao
 
Habari Wana Jf.

Hili amelolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na husiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.

kiukweli Kama harmonize Ni mkubwa angekua na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.

Pia lingine sikuona Kama Kuna haja ya yeye kujibu Kama hakupendezwa kwa Diamond platnumz angekaa kimya tu kuliko kutafuta Busta kwa baba Yake kimuziki.

Harmonize inabidi ampite Rayvanny kwanza ndio aende kushindana na Diamond platinumz.

N.B harmonize wewe bado underground Sana kwa Rayvanny na Diamond platinumz.
Sawa Dida tumekuelewa uolewe sasa
 
Pesa za digital platforms zina mgao mkubwa. Yeye anasubiria kupewa tu kimgawo.

Hana pesa ndio maana katafuta bwana sponsor huko Zimbabwe.

Hana ubavu hata wa kumiliki PASSWORD ya YouTube Channel yake, sembuse pesa[emoji1787]

Shows gani kafanya ?

Ondoa tamasha la Wasafi tumewasha Tour, maana huko alikuwa anatumika tu kama msukule.

Hiyo endorsement ya Cocacola ni ya nchi gani ? Au Coca ya Sponsor Mzimbabwe[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari Wana Jf.

Hili amelolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na husiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.

kiukweli Kama harmonize Ni mkubwa angekua na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.

Pia lingine sikuona Kama Kuna haja ya yeye kujibu Kama hakupendezwa kwa Diamond platnumz angekaa kimya tu kuliko kutafuta Busta kwa baba Yake kimuziki.

Harmonize inabidi ampite Rayvanny kwanza ndio aende kushindana na Diamond platinumz.

N.B harmonize wewe bado underground Sana kwa Rayvanny na Diamond platinumz.
Una ugonjwa mbaya Sana infact harmonize hakujui na unachuki nae utakuja kuwa mchawi
 
Back
Top Bottom