Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kumbe anawatisha chinga bwanaaaaNaunga mkono hoja , na pia Rayvanny afanye haraka kumsaini mwanamziki atakayemjibu dogo ibrah mana kamemganda Vannboy kama kupe wakat kananuka mdomo tuu😂😋
Na ndio inavyotakiwa Rayvanny asaini haraka msanii wakujibizana na ibraah ili ngoma inogeNaunga mkono hoja , na pia Rayvanny afanye haraka kumsaini mwanamziki atakayemjibu dogo ibrah mana kamemganda Vannboy kama kupe wakat kananuka mdomo tuu[emoji23][emoji39]
Na ndio inavyotakiwa Rayvanny asaini haraka msanii wakujibizana na ibraah ili ngoma inogeNaunga mkono hoja , na pia Rayvanny afanye haraka kumsaini mwanamziki atakayemjibu dogo ibrah mana kamemganda Vannboy kama kupe wakat kananuka mdomo tuu[emoji23][emoji39]
Atishi mtu Ila Rayvanny sio size ya harmonize Wala ibraahKumbe anawatisha chinga bwanaaaa
Kwani zilipokuwepo na hao si walikuepo why hawakuchukua...? Kama hawakuchukua na Rayvanny kachukua na Ni BET why asijivunie, okay apart from BET Kuna msanii gani anamzidi nomination na tuzo ukitoa Diamond platinumz...?Hivi BET aliyopata Rayvanny kuna msanii mwingine aliwahi kupewa. Ni kama kilikuwa kituzo cha kuchonga ila jamaa anavyo ki-hype unaweza kudhani ni tuzo ya maana sana.
Wewe msukule hujawahi kuwa na akili. Kituzo cha Rayvanny ni viewers choice na hakikuwahi kutolewa tena kwa mtu yeyote maana ni USELESS.Kwani zilipokuwepo na hao si walikuepo why hawakuchukua...? Kama hawakuchukua na Rayvanny kachukua na Ni BET why asijivunie, okay apart from BET Kuna msanii gani anamzidi nomination na tuzo ukitoa Diamond platinumz...?
RAYVANNY 1 NI HARMONIZE 3 JUMLISHA NA IBRAAH 30
Kelebe imefikia wapi?Kwani zilipokuwepo na hao si walikuepo why hawakuchukua...? Kama hawakuchukua na Rayvanny kachukua na Ni BET why asijivunie, okay apart from BET Kuna msanii gani anamzidi nomination na tuzo ukitoa Diamond platinumz...?
RAYVANNY 1 NI HARMONIZE 3 JUMLISHA NA IBRAAH 30
Endelea kukaza fuvu[emoji23][emoji23][emoji23], one and only Rayvanny BET winnerNamfagilia konde kathubutu kinoma, machinga mpaka Gangstar, jeshi la mtu mmoja, big up machinga.
Point is kipindi anapokea harmonize hakuwepo au..? Jibu alikuepo so why hakuchukua Kama alikua na ubavu...? Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]Wewe msukule hujawahi kuwa na akili. Kituzo cha Rayvanny ni viewers choice na hakikuwahi kutolewa tena kwa mtu yeyote maana ni USELESS.
Yale ya Diamond kupewa kofia na kibwengo Magu akaona ni big deal mipicha picha kila kona, walivyokuja kupewa mpaka kina Msechu akaishiwa sifa na pozi.
Afro-francoise country inapeta, na YouTube mpaka now Ni 1 trending for music na pia SOUND FROM AFRICA Ina streams 9.5m boom play,25m Spotify na 10m Audiomack huku afroeast Ina 2.3m boomplay, 2.5m Spotify na 12m Audiomack huku nyingine Ina miezi 4 na nyingine mwaka 1 na nusu[emoji23][emoji23][emoji23]Kelebe imefikia wapi?
SureManagement ya Harmonize hawajielewi
Alikuwepo kwenye nomination au kwenye nini ?Point is kipindi anapokea harmonize hakuwepo au..? Jibu alikuepo so why hakuchukua Kama alikua na ubavu...? Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Na sema kwa maana kipindi anachukua Rayvanny na harmonize alikua upcoming, means hakuwa mkali sio...? Endelea kukaza fuvu, puru square na utazaa kwa uchungu square mwaka huu[emoji23][emoji125]Alikuwepo kwenye nomination au kwenye nini ?
Kwani kila msanii huwa anapewa Tuzo ya upcoming au kuna wahusika ?
Kila kipengele cha Tuzo kina watu wake. Huwezi kuweka kila msanii kwenye kipengele chochote. Endelea kulegeza puru, utazaa kwa uchungu mwaka huu.