Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmo alifikia hatua ya mushtaki kwa Jiwe baada ya kuona ameshalipa kila kitu kwa wasafi ila wao ndio wakawa waswahil hawataki kumpa release note yake ya kupeleka CRDB ambao walimpa mzigo kwa ubalozi wake..na mbaya zaid alioaswa kuwasilisha hizo doc kwa deadline af diamon akaleta uhun wa kutaka kusafiri nje ya nchi bila kutoa stahik kwa konde ndipo Jiwe akapigiwa simu na Diamond akarudia Airport kwa boda boda ili awahi.Harmo yupi unayemuongelea,yule wa kajala ama. Maana harmo wa kajala alilalamika kila kona alishtaki hadi kwa Jiwe ndo domo akaachia mambo na kubaki na bifu kali.
Nilitegemea kwa ray wataelewana bila ugomvi maana kijana hakua na makeke kama wengine ila duh wachafu koge hawapendi amani daima
Aisee harmonize Bado ni hero na naamini atamkojolea PaulaNajiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu.
Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na basata alilipa alichotakiwa na kusepa vyema, ikiwemo kuachiwa akaunti zake za mitandao ya jamii kama YouTube
Ajifunze pia Kwa Mavoko hta alipompeleka Diamond basata Bado akaunti yake ya YouTube hadi Leo Bado inamilikiwa na wasafi Kwa Sababu hakuheshim mkataba na ikambid afungue akaunti nyingne ya billionaire kid.
Rayvanny zingatia mkataba basata yeye ni mlezi tu hawez kamwe kushurutisha Diamond akusamehe kirahisi na ukumbuke Diamond Yuko na mtu mbad Sana Sallam Sk, so ndugu yatakukuta ya Mavoko usipoheshimu kuvunja mkataba wako Kwa mujibu wa Sheria.
Kila la heri Huko basata
Kwani kijana akiamua kuondoka kwao na kwenda kujitegemea inamaansha kwao alikua anaishi kwa shida? Mtu yoyote akiwa na uwezo wa kujiendesha yeye na maisha yake huwa anapenda kujiondoa kwenye utegemezi. It's a sign of Maturity.Swali ni kwa nini wanasepa? Yawezekana hao waliomo wanaishi kwa shida ila mkataba unawalazimisha waendelee kukaa ili watumikie makubaliano.
Hakuna excuse linapokuja suala la mkataba, ndio maana hiyo uliyotoea mfano haijawahi kuvunjwa na iliheshimiwaMnaotetea mikataba, hata ile ya Chief Mangungo kule Msovero nayo ilikuwa mikataba
Acha jazba.Huyu dogo naye ni fala tu kama ni kweli na In fact kwenye life hakuna cha bure.
Hata ndoa zetu inabidi ziwe na mikataba ili watu wasiwe chuma uleteKwenye ishu ya pesa wengi tu nafsi hubadilika, diamond anawakilisha wengi, sisi tunaona rayvanny kama msanii, diamond anamuona ni kiingiza fedha ofisini kwake hapo ndipk shida huanzia.
Inabidi tu tuwaele wote, kuna wakati mondi anakuwa sahihi, hata majuu huko msanii kuondoka kwenye label wengine wanamaindiana.
Ni vema mondi akawa anasamehe sababu kusamehe inonesha ukubwa na ukomavu, lakini si lazima sababu kaweka fedha akitegemea apate fedha.