Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

Harmo alifikia hatua ya mushtaki kwa Jiwe baada ya kuona ameshalipa kila kitu kwa wasafi ila wao ndio wakawa waswahil hawataki kumpa release note yake ya kupeleka CRDB ambao walimpa mzigo kwa ubalozi wake..na mbaya zaid alioaswa kuwasilisha hizo doc kwa deadline af diamon akaleta uhun wa kutaka kusafiri nje ya nchi bila kutoa stahik kwa konde ndipo Jiwe akapigiwa simu na Diamond akarudia Airport kwa boda boda ili awahi.

Simu ilishuka toka kwa Jiwe mpaka kwa Mwakyembe ambaye alimpiga pini Diamond hakuna kisafir mpaka am release officialy konde boy..

Sio utaratibu huu wa Rayvan anaofanya
 
Aisee harmonize Bado ni hero na naamini atamkojolea Paula
 
Inawezekana pia ikawa ni siasa ya mziki, kwa Tanzania imejengeka kwamba ili msanii asipotee ni lazima mashabiki wajengewe taswira kwamba yuko kwenye ugomvi na msanii mwingine aliyejuu zaidi.
 
Kwa hiyo tukubaliane kuwa wasanii huwa hawanyonywi, Ila Tatizo ni mktaba. Maana hata Mondomi mwanzo alilalama Sana kunyonywa na akaamua kuanzisha wasfi kuwasaidia wasanii, Ila malalamiko yako pale pale.

Kwa hiyo Tatizo ni mikataba si unyanyaji
 
Swali ni kwa nini wanasepa? Yawezekana hao waliomo wanaishi kwa shida ila mkataba unawalazimisha waendelee kukaa ili watumikie makubaliano.
Kwani kijana akiamua kuondoka kwao na kwenda kujitegemea inamaansha kwao alikua anaishi kwa shida? Mtu yoyote akiwa na uwezo wa kujiendesha yeye na maisha yake huwa anapenda kujiondoa kwenye utegemezi. It's a sign of Maturity.
 
Mbona Dogo kawasaidia sana kuwaandikia nyimbo yaani alikuwa na mchango mkubwa WCB, why wanamfanyia hivo, but kwa uvumi niliosikia si ilisemekana anatakiwa alipe million 800, account yake iachiwe, awe huru
 
Na inasemekana kawalipa hela Yao yote , tatizo kuna flow ya pesa hasa show za Maluma , wajuba wanaona watakosa pesa mingi sana wakimwachilia ndani ya miez hii mitatu wanataka wakamue ko kabisa.

Hata hvyo kondeboy alimuonya kabisa huyo dogo wakat akiwa pale airport kwamba ajiangalie Sana asijidanganye kuwa anapendwa
 
Hata ndoa zetu inabidi ziwe na mikataba ili watu wasiwe chuma ulete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…