Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Hivi hawa siku hizi nyimbo zao ni zipi na zinapigwa wapi? Ni kama wamechanganyikiwa hawaelewi chakufanya.

Mwenzao Diamond pamoja na kiki zake zoote za kijinga, alikuwa anafanya ngoma ina kiki na kiki yake. Hafanyi kiki ilimradi kiki, anafanya kiki kubust muziki wake.

Mfano hamo kiki yake na kajala imemsaidia kitu gani so far?!
 
Tatizo mtoto na mama pipa na mfuniko.

Ila mapenzi ya wasanii yaani usanii mtupu yana anzaga kwa mbwembwe, yanavyo kuja kuishia hata haulewi.

Vipi Kajala lile gari alilopewa na Konde kalirudisha au Konde kasamehe?.
 
Harmonize kashindwa kumcopy diamond kwenye u-player tu, jamaa hata kutongoza hajui[emoji23]
 
Well said kabisa...yaani kwa sie mabahari fantasy hiyo ya kula kuku na kifaranga chake is second to none🀣🀣🀣🀣🀣
 
Swala la pfunk kunyamaza lile la rayavan, limekuja la harmonize, kwanini baba mtoto anakaa pembeni kumsaidia mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
P Funky yeye mwenyewe alivyo hojiwa na Millard pamoja na Dizzim alisema yeye mtoto kishamshindwa kamuachia mama yake.

Kwani yanayo tokea leo yeye aliya ongea kitambo mtoto amweke mbali na social networks na yeye ajiheshimu asifanye mambo yake (mahusiano) mbele ya mtoto ila mama akawa anamtetea na kumkingia kifua mwanawe na kuendelea na upuuzi wake.

P Funk hata ile kesi ya Rayvany kupost picha ya mahaba na Paula hakuenda polisi, aliye kuwa akimsindikiza polisi ni baba mlezi Harmonize.
 
wcb walivyowajinga eti li salam na li anko shamte limewahi ku comment ili ionekane kweli,kumbe mchongo tu
[emoji3][emoji3][emoji3] Mimi mwenyewe nahisi kwamba Huu Ni mchongo Aisee hizo chat ni za kutengenezwa ila kajala na binti yake watakuwa wamelipwa pesa ili wakaushe na kufanya kuwa hii issue Ni ya kweli ...

But ngojea tuone huwenda Kuna ukweli ndani yake
 
It is sick to watch...

Hata kama ndio uhuni sio wa Harmonize kumtaka Paula ilihali anatoka na mama yake...

Tunajua mmeliunda hili zengwe...

Eti Harmonize atume picha ya utupu kwa Paula...

Kweli mko desperate kumchafua...

Poleni,limewauma ndio maana mmekua desperate..

You know what hili nalo litapita na Konde boy ata survive tuu...

😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…