sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
utakuwa ulikuwa jela wewe ndio maana hujui mambo yalipoanzia. 😂😂😂Hapo kinachomuumiza uyo Rayvan ni ubalozi wa Harmonize katika hizo kampuni, kitu ambacho yeye hana na hajawahi kukipata mpaka sasa, hakuna kingine