Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mpaka boss wake kampikuMwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act
View attachment 530141
Hongera sana kijana .[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]