Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu
Mmeanza,watanzania bana ujuaji mwingi sana hpo yataongelewa meeengiiii.....
 
Hajui kuimba huyo
IMG_20170624_220338_968.jpg
 
Mwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act

View attachment 530141

Hongera sana kijana .[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
mkuu ungesema msanii wa kwanza toka Tanzania kubeba tuzo ya BET ingenoga sana [HASHTAG]#wcb[/HASHTAG]
 
Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu

Acha uwongo Wakenya na kura za instagram wapi na wapi hao jamaa wameteka twitter tu. Ungeingia insta uone wabongo walivyopiga kura za [HASHTAG]#ipickrayvanny[/HASHTAG] kila picha huko bet usingeshangaa
 
Haya sasa bongo sasa n yake
Na tuzo ya kununua
 
Back
Top Bottom