Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmeanza,watanzania bana ujuaji mwingi sana hpo yataongelewa meeengiiii.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmeanza,watanzania bana ujuaji mwingi sana hpo yataongelewa meeengiiii.....
Tuanze na wewe, ulimpigia kura??Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu
Ni habari njema sana hizi. Yaani utadhan nimepewa mimiMwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act
View attachment 530141
Hongera sana kijana .[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
YesTuanze na wewe, ulimpigia kura??
KWAKUWA TUNATOKA WOTE MBEYA BASI HONGERA ZAKE
Big upMwanamuziki kutoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinum ,Rayvann hatimaye afanikiwa kuibuka kidedea kwenye tuzo ya BET kipengele cha Best New international act
View attachment 530141
Hongera sana kijana .[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]