Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Kama picha inavyoonesha Rayvanny boy all the from usafini WCB,kajinyakulia tunzo ya BET ambayo wasafi wamekua wakiitafuta kwa miaka mitatu sasa...
Tunasema Mungu ni mwema na mwaminifu,na hujibu kwa wakati...cha muhimu uvimilivu,kujituma na maombi...
Hongera Ray,hongera kwa familia na mashabiki wa WCB...
 

Attachments

  • PhotoGrid_1498333392078.jpg
    PhotoGrid_1498333392078.jpg
    119.6 KB · Views: 16
Back
Top Bottom