Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu
Mmeanza,watanzania bana ujuaji mwingi sana hpo yataongelewa meeengiiii.....
 
mkuu ungesema msanii wa kwanza toka Tanzania kubeba tuzo ya BET ingenoga sana [HASHTAG]#wcb[/HASHTAG]
 
Kikubwa kilichomsaidia kijana ni kutojivuna kama wasanii wengine halafu ana mashabiki wengi sana Kenya ambao si wababaishaji kwenye suala zima la upigaji wa kura tofauti na mashabiki wa TZ ambao wengi wao ushabiki unaishia mdomoni tu

Acha uwongo Wakenya na kura za instagram wapi na wapi hao jamaa wameteka twitter tu. Ungeingia insta uone wabongo walivyopiga kura za [HASHTAG]#ipickrayvanny[/HASHTAG] kila picha huko bet usingeshangaa
 
Haya sasa bongo sasa n yake
Na tuzo ya kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…