Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
salam ndoa anawadanganya humo instaNamkubali sana Rayvanny but hajawa nominated kwenye hizo tuzo bana
mimi simjuisample you
ohema
tafta hizo mkuu! labda ungesema stonebwoy lakini sio huyu jamaa
Hater again.go on,show what hatred u gothuu wimbo ulivyo mbovu hata mwenyewe hausikilizi
wewe ndo wa kufanya research peleka utoto wako insta hukoKabla kuongea fanya research
Hapo anachukua Skip Marley mjukuu wa Bob!Msanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards.
Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki kupata nomination za mwaka huu katika tuzo za BET
Kipingelee iki mwaka jana kilikuwa na wasanii wa bara la Africa tu na alishinda Falz wa Nigeria ila mwaka huu wamechukua wasanii toka mabara tofauti.
List ya nominees ni;
Rayvanny (Tanzania)
Dave (UK)
Amanda Black (SA)
Changmo (South Korea)
Daniel Caesar
Remi
Skip Marley
@notjustok (NG) Tanzanian star @Rayvanny is definitely having a good year. He is the only East African artiste nominated for the [HASHTAG]#BETAwards2017[/HASHTAG]). Receiving a nod for the International Viewers Choice category, @Rayvanny is nominated alongside top artistes from all over the world among them,wewe ndo wa kufanya research peleka utoto wako insta huko
Fatilia vizur Mr Eaz ni mkali kuliko wote hapo coz ametengeneza hit songs kibao tena bila collabo za kimataifa kashai ingiza nyimbo tatu kwenye top ten ya mtv kwa wakat mmojaHongera zake..
International/Africa wamejaza wapopo
hivi huyo Mr eaz anaimba nyimbo gani?
sizijuiFatilia vizur Mr Eaz ni mkali kuliko wote hapo coz ametengeneza hit songs kibao tena bila collabo za kimataifa kashai ingiza nyimbo tatu kwenye top ten ya mtv kwa wakat mmoja
List ya track kali za toka mwaka jana
1.Dance for me
2.Anointing
3.Hollup
4.Ohema
5.Leg over
6.phone with benard paul
Unachaganya category yeye hayupo kwny international act yupo category ya International viweres choice awards
Sio lazima uzijue ila jamaa ni mkalisizijui
BET Awards 2017 | Coca-Cola Viewers' Choice Award | Nominees According to this Link (URL) hayupo,embu tupe hiyo ya kwako tukapige kura faster
Mungu amfanyie wepesiMsanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards.
Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki kupata nomination za mwaka huu katika tuzo za BET
Kipingelee iki mwaka jana kilikuwa na wasanii wa bara la Africa tu na alishinda Falz wa Nigeria ila mwaka huu wamechukua wasanii toka mabara tofauti.
List ya nominees ni;
Rayvanny (Tanzania)
Dave (UK)
Amanda Black (SA)
Changmo (South Korea)
Daniel Caesar
Remi
Skip Marley