Rayvanny awa msanii pekee toka Africa Mashariki kupata nomination za BET Awards 2017

Rayvanny awa msanii pekee toka Africa Mashariki kupata nomination za BET Awards 2017

Hiyo Best international Act si ndio ilifanya mtu fulani atukanweee...hadi akanyang'anywa tuzo....tna kawa nominated yule kaachwa
 
Namkubali sana Rayvanny but hajawa nominated kwenye hizo tuzo bana
 
Namkubali sana Rayvanny but hajawa nominated kwenye hizo tuzo bana
Unachaganya category yeye hayupo kwny international act yupo category ya International viweres choice awards
 
Msanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards.

Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki kupata nomination za mwaka huu katika tuzo za BET

Kipingelee iki mwaka jana kilikuwa na wasanii wa bara la Africa tu na alishinda Falz wa Nigeria ila mwaka huu wamechukua wasanii toka mabara tofauti.

List ya nominees ni;

Rayvanny (Tanzania)
Dave (UK)
Amanda Black (SA)
Changmo (South Korea)
Daniel Caesar
Remi
Skip Marley

9c5a52dea2431faeaa0ce1ba6b8bcf53.jpg
Hapo anachukua Skip Marley mjukuu wa Bob!
 
wewe ndo wa kufanya research peleka utoto wako insta huko
@notjustok (NG) Tanzanian star @Rayvanny is definitely having a good year. He is the only East African artiste nominated for the [HASHTAG]#BETAwards2017[/HASHTAG]). Receiving a nod for the International Viewers Choice category, @Rayvanny is nominated alongside top artistes from all over the world among them,
David (UK), Jorja Smith (UK), Changmo (South Korea), Daniel Caesar (Canada), Amanda Black (SA), Remi (Australia) and
Skip Marley (Jamaica). The Wasafi signed artiste just finished filming the fifth season of Coke Studio Africa in Nairobi and is ruling the airwaves with his new track “#Zezeta”.
Congratulations @Rayvanny

61da38ce6ffa2b19a5d98ba2871343b0.jpg
 
Hongera zake..
International/Africa wamejaza wapopo
hivi huyo Mr eaz anaimba nyimbo gani?
Fatilia vizur Mr Eaz ni mkali kuliko wote hapo coz ametengeneza hit songs kibao tena bila collabo za kimataifa kashai ingiza nyimbo tatu kwenye top ten ya mtv kwa wakat mmoja

List ya track kali za toka mwaka jana

1.Dance for me

2.Anointing

3.Hollup

4.Ohema

5.Leg over

6.phone with benard paul
 
sizijui
 
Aisee Vanessa Mdee colabo zote alizofanya bado hajafanikiwa kuonekana tu? Tusubiri za Mtv
 
Msanii toka WCB Rayvanny amepata nomination katika tuzo za BET awards 2017 katika kipengele cha Best International Viewers Choice Awards.

Rayvanny ndo msanii peke toka ukanda wa Afrika Mashariki kupata nomination za mwaka huu katika tuzo za BET

Kipingelee iki mwaka jana kilikuwa na wasanii wa bara la Africa tu na alishinda Falz wa Nigeria ila mwaka huu wamechukua wasanii toka mabara tofauti.

List ya nominees ni;

Rayvanny (Tanzania)
Dave (UK)
Amanda Black (SA)
Changmo (South Korea)
Daniel Caesar
Remi
Skip Marley

9c5a52dea2431faeaa0ce1ba6b8bcf53.jpg
Mungu amfanyie wepesi
 
Back
Top Bottom