sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi.
Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa msanii uliyemtorosha kwenye lebo yake.
Unatafuta huruma wakati wewe unafanya dhulma kwa Chege.
Msanii wako Macvoice ametengenezwa na Chege akaweka pesa zake kuanzia videos, kumuweka mjini, studio times nk alafu ukamuiba bila kuangalia pesa zilizowekwa na Chege.
Laana ya kudhulumu watu itafanya lebo yako iendelee kudumaa.
Umemnyonya Chege, S2KIZZY, Mapanch, Robby nk utapiga vipi hatua kwaeunyonyaji huu 🤔🤔